Kielelezi cha mahali

1. Mlango mkuu na utawala
2. Idara ya wagonjwa wanaofika kutibiwa na kurejea nyumbani
3. Ushauri kwa wakina mama
4. Huduma ya malazi kwa ndugu za wagonjwa
5. Jenereta ya dharura
6. Idara ya “X-ray” na chumba cha upasuaji
7. Vyumba vya upasuaji 1 na 2
8. Uchunguzi wa kutumia mionzi, matayarisho ya vimiminika vya mwili, vipimo vya miwani
9. Chumba cha wagonjwa mahututi, wodi ya watoto, chumba cha tiba ya mazoezi ya viungo
10. Wodi
11. Wodi ya wazazi
12. Ufuaji na ushonaji
13. Huduma ya malazi kwa mama wajawazito
14. Karakana
15. Nyumba ya wageni
16. Kituo cha utafiti cha Ifakara