Historia ya Hospitali ya Mt. Francisco, hospitali teule ya wilaya

Dispensari ya zamani inatumika kama maktaba

Hospitali ya wakoma "Nazareti" imekuwa makao ya walemavu wengi na waliokuwa zamani wagonjwa wa ukoma.