Mikakati iliyokwishafanyika
1995
Ujio wa kwanza wa Christine na Dr.Wilfried Schennach Ifakara. Utoaji wa vifaa vitumikavyo kufanyia opareshini.
Uboreshaji wa hali ya huduma ya afya
1996
Mchango katika ujenzi wa moja ya nyumba za wafanyakazi
1999
Ushonaji wa shuka na vitanda vya wagonjwa
2000 bis 2002
Mafunzo kwa madaktari na wauguzi wa Ifakara katika hospitali ya Mt. Vinzenz huko Zams/Tirol
Vifaa mbali mbali vya ufunguzi
2001
Kujengwa kwa chumba cha uchunguzi
Taa zitumikazo wakati wa kufanya oparesheni
2002
Vitanda 34 vya wagonjwa, magodoro na mashuka maalum ya kuzuia magodoro yasiharibike
Mashuka na vitambaa vitumikavyo wakati wa opareshini
Vifaa vya kufundishia kwaajili ya chuo cha wauguzi
2003
Vitanda 33 vya wagonjwa, magodoro na mashuka maalum ya kuzuia magodoro yasiharibike
Pampu 1 ya kuvuta maji kisimani, ushonaji wa vitambaa,
Mashine kubwa 2 za kufulia
mashine ya kutolea nakala
Vitanda vya kufanyia oparesheni, mashine ya kutolea vumbi
2004
Kifaa 1 cha uchunguzi wa utumbo na kifaa 1 cha uchunguzi wa tumbo
Vitanda 37 na magorodoro yake na mashuka maalum ya kukinga magodoro yasiharibike
Mashine ya kupimia shinikizo la damu
Vifaa vikubwa 2 kwaajili ya kuchemshia vifaa vilivyokwishatumika ili kuua vijidudu

Kifaa kikubwa cha kuchemshia vifaa vya kufanyia operesheni
2005
Mafunzo ya madaktari watatu bingwa, 1 upasuaji,1 magonjwa ya ndani na 1 magonjwa ya watoto (hadi 2007)
Mafunzo ya mtaalam anayewawezesha walemavu kuweza kufanya kazi. Anahudhuria mafunzo haya huko KCMC Moshi (hadi 2008)
Ukarabati wa kifaa cha kuchemshia vifaa vya hospitali
Ukarabati wa wodi ya watoto
Vifaa vya kupimia ugonjwa wa kisukari
Mashuka na vitambaa, mashine 3 za kushonea
2006
Mashuka na vitambaa kwaajili ya operesheni
Vifaa vya kupimia ugonjwa wa kisukari
Jenereta 1 ya kuzalishia umeme wa dharura (380 KVA )
Pampu kwaajili ya kusafishia maji yanayotumika hospitalini
Vifaa kwaajili ya karakana
Mashine 1 kubwa ya kufulia
2007
Vitanda 15 vya wagonjwa, Magodoro 100
Kufumwa kwa vitambaa 100
Vifaa 2 (ECG)vya kupimia moyo, Vifaa 2 (CTG)vya kupimia maumivu ya mama mzazi na pia mapigo ya moyo ya mtoto
Vifaa 6 vya kukusanyia hewa ya oksijeni
Mashine 2 za x-ray zenye kuweza kuhamishwa
Komputa 10 na viunganisho vyake
Mashine za kupimia shinikizo la damu
Kifaa 1 cha maabara cha kupimia damu toka campuni ya Sysmex
Mashine 1 ya kutolea nakala
Robota 1 la mifuko ya mikono kwaajili ya uchunguzi na operesheni
Insulin na madawa ya kutuliza maumivu
Kufuma vitambaa
Vyandarua 100
Mashine ya x-ray kwaajili ya chumba cha meno

2007 Tulimpa mwanamke mmoja wa Ifakara kazi ya kufuma vitambaa


